Back to home
Midnight Piano Heartbreak
R&B

Midnight Piano Heartbreak

Ibrahim KilindiIbrahim Kilindi
0 likes1 plays3:14
Style: mellow afrobeat, romantic, emotional male vocals, soft deep male voice, gentle piano, emotional guitar, soft bass, slow drums, heartbreak, sad love song, piano, guitar, drums, bass, sad, male vocal
Learn to sing thisKaraoke with live pitch — get a score on every lineSing →

PRO & Creator Features

Unlock Studio tools with Pro or Creator: remix and covers, photo covers, unlimited variations, edit sections and stem separation. Creator adds voice clone and lossless FLAC.

Audio2Audio Remix

Pro & Creator

Voice Clone

Creator

Create Variations

Creator only

Edit Sections

Creator only

Stem Separation

Creator only

Lyrics

▶ Play this song to follow along.

Nilikupenda kwa moyo wangu,

Nikakuamini katika maisha yangu.

Leo umeniacha mwenyewe,

Nabaki na maumivu moyoni mwangu.

Mimi na wewe sina mwingine,

Umeniacha mwenyewe, umekwenda kwengine.

Mimi na wewe sina mwingine,

Umeniacha mwenyewe, umekwenda kwengine.

Mimi bado sijapona.

Nilidhani tutakuwa pamoja,

Tukijenga mapenzi yetu daima.

Lakini leo umeenda zako,

Ukaniacha na kumbukumbu zako.

Mimi na wewe sina mwingine,

Umeniacha mwenyewe, umekwenda kwengine.

Mimi na wewe sina mwingine,

Umeniacha mwenyewe, umekwenda kwengine.

Mimi bado sijapona.

Mimi bado sijapona...

Moyo wangu bado unaumia...

Umeniacha mwenyewe...

Mimi bado sijapona.

Comments(0)

Sign in to join the conversation.

No comments yet. Be the first to comment!