
PRO & Creator Features
Unlock advanced AI features with Pro (Audio2Audio, Photo Covers, LoRA) or Creator (Voice Clone, Variations, Edit Sections, Stem Separation).
Audio2Audio Remix
Pro & Creator
Voice Clone
Creator
Create Variations
Creator only
Edit Sections
Creator only
Stem Separation
Creator only
Lyrics
▶ Play this song to follow along.
[Verse 1]
K Aaron, huku nilipo mbali
Nakumbuka nyumba ya shangazi na babu
Kwa zile familia zenye mgongano wa kila mara
Moyo wangu unavuja damu
[Chorus]
Hello mama
Kwanza nakusalimia shikamo mama
Mbona umeniitenga
Au mimi sihusiki na familia
Nimewakosea
Mbona hata simu hamkunipigia
Sio mimi naanza na kulalama
Nimechoshwa
[Verse 2]
Maana nateseka nilipo
Na nakumbuka familia
Hivi mko salama
Hamna mtu anaumwa
Mimi niko salama
Namshukuru muumba
Hivi mko salama
Hamna mtu anaumwa
[Chorus]
Hello mama
Kwanza nakusalimia shikamo mama
Mbona umeniitenga
Au mimi sihusiki na familia
Nimewakosea
Mbona hata simu hamkunipigia
Sio mimi naanza na kulalama
Nimechoshwa
[Bridge]
Kuna muda nawaza sana
Nini nitakuona mama
Maana maisha ya mjini mama
Kiukweli nimechoka sana
Kama ni ya Mungu basi asifiwe
Kama ni shetani basi alaniwe
Kama ni ya Mungu basi asifiwe
Kama ni shetani basi alaniwe
[Chorus]
Hello mama
Kwanza nakusalimia shikamo mama
Mbona umeniitenga
Au mimi sihusiki na familia
Nimewakosea
Mbona hata simu hamkunipigia
Sio mimi naanza na kulalama
Nimechoshwa